Want to create an interactive transcript for this episode?
Podcast: The Insightful Podcast Show (TIPS)
Episode: Prelude: Know what this Podcast is about
Description: Tupe maoni yako. Kila mtu huwa na ndoto za mafanikio tunachotofautiana ni njia, na ukubwa wa ndoto hizo. Wapo wenye ndoto za kuwa mabilionea, na pia wapo wenye ndoto za kuweza kupata mlo wa leo tu. Na tofauti hizo naimani husababishwa na makuzi ya nyumbani, marafiki tunaojizungunga nao Pamoja na fursa tunazozipata au kuzaliwa nazo. Mimi binafsi naamini vitu hivyo vitatu vinaenda sambamba kuijenga βmindsetβ ya mtu. Nchi nyingi za Africa hali duni ya manyumbani hupelekea mtu kujifunga kifikra na hii husababishwa sana na ukosefu wa elimu Pamoja na utandawazi. Marafiki pia hujenga mindset ya mtu kwani ukij...