Want to create an interactive transcript for this episode?
Podcast: The Insightful Podcast Show (TIPS)
Episode: This is your Captain Speaking: How to get a Commercial Pilot License and the challenges of getting it
Description: Tupe maoni yako. “Kuwa rubani unasomea leseni mwaka mmoja tu umemaliza!”, ndio maneno wengi wanasema na kufanya urubani ionekane kuwa kazi rahisi. Ingawa ndio huenda ukaifanya mda mfupi zaidi ya degree ya kawaida, ila pia kuifanya muda mrefu zaidi ya degree inawezekana ukiwa mzembe, na hii ni kwa mujibu wa John.John yeye amehitimu course ya leseni ya Commercial Pilot Licence (CPL) ambayo pia ilimlazimu apate leseni zininge kwanza ndo afikie kiwango cha kupata leseni hii. Hizo leseni zote tumeweza kuelezewa vizuri ni jinsi gani tunaweza kuzipata. Hakuishia hapo, ila ametueleza safari ya urubani haiishi kweny...