Want to create an interactive transcript for this episode?
Podcast: The Insightful Podcast Show (TIPS)
Episode: UK's experience na Dada lao!: What to expect while studying in the UK (From a Tanzanian who graduate in UK)
Description: Tupe maoni yako. Ukitaja nchi zenye elimu bora, ni-imani yangu Uingereza nayo itawemo. Hii ni kutokana na kuwa na vyuo vizuri na watu wenye “background” tofauti tofauti, inayomfanya mwanafunzi anaeenda kusoma huku apate kujifunza na kupata “exposure” ya kutosha, hayo ndo maoni yangu juu ya kwenda kusoma UingerezaKwenye “episode” hii tumeweza kupata maoni mengine juu ya kusoma Uingereza kutoka kwa Faith. Ambaye yeye ni mwanafunzi nchini humo kwa miaka mitatu sasa, kuachilia mbali maoni yake juu ya kusoma huko, ametueleza pia ni vitu gani vya kuzingatia kuazia unapoanza ku-apply visa mpaka kufika nchini humo. Faith pi...