Want to create an interactive transcript for this episode?
Podcast: The Insightful Podcast Show (TIPS)
Episode: The bros' heated derby: Benefits and Challenges of studying Inside and Outside Tanzania based on experience
Description: Tupe maoni yako. Tanzania ya sasa asilimia kubwa ya wenye uwezo na fursa hukimbilia kusoma nje, je! ni kwanini?. Kwenye episode hii tumeweza kuelezewa ubora uliopo wa kusoma njee na mwanafunzi aliepata nafasi ya kwenda kusoma huko. Nicholaus ametueleza kuna faida gani mtu huipata kwenye kwenda kusoma njee na pia ameweza kutusanua mapungufu yaliopo kwenye kwenda kusoma njeIla pia tukaangalia upande wa pili wa shilingi, kwa kuelezewa ubora na upungufu wa kusoma njini na mshkaji wetu Harun, ambae amepata nafasi ya kusoma nchini kwahio anachokieleza ni kulingana na experience alioipitia au anachokiona yeye.Â