Want to create an interactive transcript for this episode?
Podcast: The Insightful Podcast Show (TIPS)
Episode: Think ahead: Importance of ACCA and step by step guidance towards getting the qualifications
Description: Tupe maoni yako. Kwa dunia ya sasa, Bachelor’s degree huwenda isitoshe kama unampango wa kuajiriwa, kwani ni watu wengi sana wamebahatika kupata degree sawa na yako, sahivi wasomi ni wengi. Kutokana na hilo kujiongeza na kujitofautisha na wengine ni muhimu ili uweze kupata kuajiriwa. Kutokana na mauni ya wengi; kama ulikuwa na mpango wa kuwa muhasibu (accountant), wanashauri kusoma ACCA baada ya degree, na wanaenda mbali zaidi na kushauri kutafuta chuo ambacho kipo accredited na ACCA kwenye degree unayosomea ili uwe exempted kweneye mitihani kadha. Kama unajiuliza ACCA ni nini basi ime-elezewa na H...