Want to create an interactive transcript for this episode?
Podcast: The Insightful Podcast Show (TIPS)
Episode: The Story time: What to Expect while in Uni
Description: Tupe maoni yako. Ukiongea na mtoto mdogo atakuambia anatamani kuwa mkubwa na kuanza kujitegemea, sawa sawa na mtu alie Advance anavyotamani kwenda chuo bila kuwaza ya kwamba tunavyokuwa majukumu nayo yanaongezeka. Ila ndo ‘nature’ yetu wanadamu, kuwa na expectations ya mazuri tu bila kuziwazia changamoto tunazotakiwa kuzipitia ili kufikia hizo expectation zetu 2013 ndio mwaka nilikutana na Salim ila sio kwa ukaribu kwani ndio mwaka tulianza kusoma shule mmoja. Tulipokaribia kuhitimu kidato cha nne ndipo ukaribu wangu na salim ulijengeka na ilitokana na kuwa tulijikuta wote tunataka kubadilisha ‘curriculum’ na ndipo tukawa tunakaa Pamoja na kuapply shule Pam...